Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
Chanjo ya UVIKO19 itakusaidia kupambana na virusi na kukupunguzia hatari ya kupoteza maisha
1
Mimi Sina maadui kwelilabda wao ndo wana uadui na mimiila me similiki adui
-1
Hofu yao iko kwenye uovu wao ambao wameisha ifanyia jamii
-1
Bilioni 6 zatolewa na Uingereza kujenga shule Kagera
0
Hii kitu nzuri sana nilipata fursa ya kuhudhuria Aisee wameboresha sana hud
1
Akili kuubwa Turetweet mpaka suala na aina ya akili viwafikie wafanya maamuzi Tunajitaji vichwa kama hivi 10 tu kuendes
0
Habari tutawatangazia mahali pa kupata tshirt
0
Watu 69 mbaroni kwa wizi wa maji na kuhujumu miundombinu
-1
Moja ya Bibi zangu Apumzike kwa Amani aliwahi kuniambia yeye kwake DHAMBI ni Vile anavyojisikia na Moyo wake akifanya j
0
Waziri wa AfyaMaendeleo ya Jamii JinsiaWazee na Watoto akisoma makadirio ya matumizi ya Wizara yake leo http
0
ndo mana mchungaji msigwa anamuambiaaga anaogooa kulogwa
0
Natembea nayo kimchongomchongo 1wazazi kwanza laki 2 2Gunia la Mchele kg 100220000 3Gunia la maharage kg 10
0
Mamie wangu kipenzi umekuwa MHIMILI Mkubwa kwangu katika harakati HIZI za kupambania DEMOKRASIAusilie kesho ni NZ
1
Ishi na watu vile walivyo
0
Guys mtu akiwa na hela hata ya kumpush yeye niko tayari hit my DMs tuongee biashara vitu kama
1
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokezahuduma imerejea unaweza kutumiank
0
Rais ameungana na Wakristo wote Tanzania katika maadhimisho ya Misa Takatifu ya sikukuu ya Pasaka iliyofany
0
Mkuu wa Wilaya ya Nakonde Alex Sinkala akiwa amepiga magoti kumshukuru Rais Dkt Magufuli kwa kumpa TZS 5 milioni kwa aj
1
Kukata Tamaa Ni Sawa Na Kumsusia Kanji Kibubu Jana Biashara Ya Odds 10 Ilienda Vyema Leo Odds 5 Stake 10000 Fai
0
MT kilimanjaro
0
Nashukuru sana Mr Togolani Kitabu tayari kipo sokoni kwa Bei Ya sh 20000 Kina idadi ya page 180 Na kina Idadi ya Sura 8 Kimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili Kwa Mahitaji zaid ya kitabu Tuwasiliane kwa njia ya whats app 0624613046 ht
1
Utandawaz unasababisha watu wanakula modern na westernized diet ambavyo vinawe
-1
unakaribishwa siku ya uzinduzi maswali yako yatapata ufumbuzi Ahsante
0
KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DODOMA YAKAGUA MIRADI ILI KUFUATILIA UTEKELEZAJI ILANI Kamati ya Siasa ya CCM mkoa wa Dodoma imefanya ziara ya
1
Mbaya zaidi siku unayotoka hovyo ndo unakutana na watu uliosoma nao
1
Ndani ya Rebecca leo mambo ni moto kila pande usikose kuangalia kila Jumatatu na Jumatano saa 130 usiku kupitia chaneli 160 Lipia kifurushi cha Bomba 19000 tu
0
Pole sana kwa changamoto uliopata
1
Mtoto wa kike akipata elimu na kusoma kwa bidii atatimiza ndoto yake na kuja kuchangia maendeleo kwenye taifa lake Edwick
1
Wanafunzi watano wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kihinga wilayani Ngara mkoani Kagera wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa baada ya kulipukiwa na kitu kinachoaminika kuwa bomu
-1
Mengine akichelewa kuyaona wawe wanamwambia au wanaamua wao ndo maana ya kuwa na wasaidiziMama ni msikivu wasiogope kumwambia
1
Heri ya kuzaliwa Mwanajakaya ishi maisha mengi umelitendea wema Taifa letu Let throwback kidogo na Mwanajakaya
1
Waziri Mkuu akiweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Kuchenjua Dhahabu cha Nyamigogo kilichopo wilayani Nyanghwale Wapili kulia ni mmiliki wa kiwanda hicho Hussein Nassoro ambaye ni Mbunge wa Nyanghwale na wengine ni Viongozi kutoka mkoani hapa
0
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba nikusaidie tafadhali RP
1
Mpumbavu huusoma mchezo wachezaji wanapotawanyika
1
Napenda kuwahakikishia watanzania kuwa gawio hili tutalitumia kuwaletea maendeleo wananchi wetu Hizi fedha zitatumika viz
1
Habari karibu katika ukurasa wetu tukuhudumie
0
Habari Tafadhali piga 14700 au 14800 chagua saizi yako siku wikimwezi au Halichachi kupata vifurushi vyetu vilivyoboreshwa zaidi sasa
1
Wachimbaji wa dogo wa Dhahabu zaidi 10000 Elfu kumi kutoka mikoa ya Mara Geita Shinyanga na Simiyu katika Kijiji Gasuma Wilayani Bariadi mkoani Simiyu ambao wanaelezewa kugundua uwepo wa madini hayo wameishukuru Serilikali Soma zaidi gtgt
1
Siku ya Huduma kwa Walevi Leo mapema boss kalewa Local beer ni 2000 tu
0
Ahsante kwa taarifa tutaziwasilisha idara husikank
1
Habarikwa sasa unaweza kupata ujumbe ukiweka kwa wakalakupata ujumbe unapoweka dirishani bado ipo katika mchakato SM
1
Mwongozo wa Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi wa mwaka 2009 kifungu cha 21 unamtaka mwanafunzi aliepata mimba apew
0
HABARI WANA TOT KUELEKEA KUTIMIZA MWAKA WA UTOAJI HUDUMA MENEJIMENTI YA IMEEANDAA UTARATIBU MZURI WA KUWAPATA WA
1
Katika Kutakuwa Na Mijadala Mbalimbali Itakayowakutanisha Azaki Pamoja Na Wadau Wengine Wa Maendele Kujadi
0
Hapo sijui haelewi niniwatataka na ndege zenye dashboard ya kiswahilimahakamani tu kiswahili kimetushinda
0
Niliwahi kusema hivi kwenye msg kwa Jamaa mmoja hivi Maarufu alikuwa anasumbua Sana na michango Hatimae urafiki Wetu
-1
Nawapongeza sana Makandarasi kwa kuomba hii kazi watakula Sato mpaka watoshe na Meli wanatuachia Rais
1
Moyo wa kujitolea umefifia mno Mwalimu J K Nyerere
-1
Hatuna fursa ya kuwachekea chekea Majambazi wakati unataka kutuwahi lazima tukuwahi Mhe Kangi Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
1
Watu wawili ambao ni wakazi wa Kijiji cha Ibondo BTarafa na kata ya Buseresere Wilaya ya Chato Mkoani Geita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kukutwa na kichwa cha mtu ndani ya Nyumba ambayo wanaishi
-1
MUUGUZI ALIYEKUTWA KALEWA CHAKARI HOSPITALI YA MKOA AKIONA CHA MOTO Muuguzi Martin Chama wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru Arusha amekiona cha moto baada ya kusimamishwa kwa
0
MKURUGENZI KILWA AJIVUNIA MCHANGO WA ZAO LA UFUTA KWENYE MAENDELEO YA HALMASHAURI YAKE Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa Renatus Mchawi amesema kwasasa Halmashauri ya wilaya ya kilwa imepiga
1
Habari yako Hongera Tiketi yako ya kucheza Jackpot bure ipo tayari kwa sasa Tunaomba uingie katika akaunti yako ya SportPesa kwa kupitia tovuti yetu na kuweka ubashiri wako wa Jackpot kwa tiketi ya bure Tunakutakia kila la
1
Mustafa Malimi 25 ambaye ni mmoja wa wafungwa waliosamehewa na Rais Magufuli December 09 2019 anashikiliwa na Polisi Cha
-1
Je ulishawahi kuniuliza swali kwanini nikiwasha Taa kuna wadudu wanaizunguka na wanajaa katika taa Jibu Phototaxis effect huu ni uwezo wa wadudu kuweza kutembea kuelekea chanzo cha mwanga Positive phototacticwadudu kuendea mwanga Negative phototactickinyume chake egMende
0
Tunapenda kukufahamisha zitasitishiwa huduma kwa sababu zitakuwa hazijakamlisha usajili kwa alama za vidole LM
-1
NUKUU Upungufu wa Wafanyakazi ni changamoto ila unafanyaje wewe ndio kiongozi Kuitatua changamoto kikubwa kinachohitajika ni uwezo Kwa sasa payroll ya Watanzania ni zaidi ya watu Laki 5 na ni baada ya kupunguza Watumishi hewa Rais DkMagufuli
0
Asante wewe uliyedhihirisha Msimu ambao ulituvusha mwezi February kwa kusambaa kila pembe ya
1
Tunaiomba serikali kuboresha sera ya elimu ili kuruhusu wenye magonjwa adimu kuendelea kupata elimu na jamii ielimish
1
Unapozungukwa na watu wanaounga mkono ndoto zako utapata mafanikio haraka zaidi omba MUNGU akupe watu kama hao
1
Je wajua Japani huweka rekodi ya kasi ya mtandao kwa kuhamisha 319 Tb sec zaidi ya km 3001
0
ni sababu tosha kwangu kuwa na matumaini na kamwe siwezi kukata tamaa mpaka mwisho wa maisha yangu Nimekuwa kwenye kitanda hiki kwa muda wa miaka kama kumi sasa na kamwe sijutii wala silalamiki kabisa Alhamdulillah ninapata kila kitu ninachokihitaji
1
Habaritafadhali fahamu kuwa gharama hiyo unapata ofa ya kifurushi cha DStv Compact Tzs 44000kwa mwezi mmojaGift
1
Ndege hulindwa mke halindwi
0
Unaweza kupata bank statement kwenye email yako kwa kutumia NMB mobile piga 15066 chagua 1 kisha chagua 3
1
Tupunguze Uzito
1
Ugumu wa kunywa ARV unatoka wapimbona dawa za malaria tunakunywaUTI tunakunywashida nini
0
Watuhumiwa 3 wa mauaji ya watoto mkoani Njombe wafikishwa Mahakamani Waliofikishwa mahakamani ni Joel Joseph Nziku Nassan Alfred Kaduma na Alphonces Edward Danda
-1
Kiongozi wa chama cha akiteta na Mwenyekiti wa Chama Cha Chadema wakati wa mapumz
0
Unapojitoa sana kushiriki Kwenye matatizo yao nyakati wanapokuhitaji na wewe ukasaidia kwa Mara Mara Basi
1
Wayahudi sio watu wazuri Unawakarbisha afu wanakufukuza mwenye nyumba kwa kipigo kikali
-1
Pata taarifa zote muhimu kijanjani mwako kuhusu utalii wa ndani ukiwa na App toka Zantel bofya
1
Lazima waongezeke km mkuu wa shule anawapa mimba wanafu
-1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Tunapenda kukufahamisha kuwa Pontis Ofa ni Ofa ya kifurushi cha bure kutoka Vodacom anachopewa mteja kama bonus kama vile dakika za bure au SMS Ahsante GK
0
Chale ameachia mzigo wa CocoCoco hana nguvu kabisaaE bwana Nitaharuki si kwa Coco wala Denge Tunafanyaje sasa
0
OFAOFAOFA UNATAKA KUONEKANA MREMBO Merrylight Top Hair ni wauzaji maarufu wa mawigiwiving na lace wigs
1
Tatizo kubwa lilipo ni hatuna mifumo endelevu and thats hurt Wakati mwingine utaratibukustaarabika kunaweza kuchangia ku
-1
Radio Free Afrika inatoa pole kwa Familia ndugu
0
Baadhi ya wakulima mkoani Rukwa wameamua kuacha kulima mazao ya chakula hususani mahindi kutokana na kutokupata tija katika kilimo hicho Wakulima hao walisema uamuzi huo unatokana na kukosa bei ya mazao hayo na hivyo kujikuta wakikabiliwa na ugumu wa maisha kwa kukosa fedha
-1
Kufahamu chaneli hizi tembelea
1
Takwimu zinaonesha kuwa duniani kote inakadiriwa watu milioni 850 wanasumbuliwa na magonjwa ya figo na kila mwaka watu milioni 24 hufariki kutokana na magonjwa haya
-1
Aliyekuwa mke wa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela Winnie Mandela 81 amefariki dunia
-1
Yaani kwa kifupi acha kufukua makaburi au kutaka kujuwa kila kitu Utakuja kufa kwa kihoro lisilokuhusu liache k
0
TanzaniaDaima Jumapili Februari 9 2020 Kinana Makamba wangoka CCM
-1
Watu watakurushia mawe Usiwarudishie mawe Yakusanye na anza kujenga himaya yako
0
Tumependekezwa kuwania Tuzo ya Taasisi inayotumia vizuri zaidi mitandao ya kijamii katika uchechemuzi na mawasiliano Tunaku
1
Bunge bila maswali na majibu wabunge wabongo kweli watajizuia MTU amuongelee afu acmjibu lolote Tutakuwa tumepiga hatua
0
Amejikuta ameropoka mambo ya chumbaniUkiongelea uovu gizani basi mchana kweupeeeeeeeeeeeee
-1
Asante sana kwa maoni yako tutayafanyia kazi
0
Tunawatakia Wanajukwaa na Watanzania wote maadhimisho mema ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kam
1
Standards zote zipo kisheria bahati mbaya Askari wanapozwa labda nadhani rungu liende kwa wenye shule kwa sababu ndi
-1
Karibu usikilize Kipindi chetu kuhusu Matumizi Mabaya ya Dawa Tiba zenye Asili ya Kulevya kupitia jina Maendeleo Podcast Tune In Alexa Listen Notes Deezer BuzzSprout Google Podcast Stitcher nyingine Link ya Spotify
0
Mwanafunzi akiendelea na masomo ya online na mwalimu wake hapa Walimu zaidi ya 4000 wamejisajili
0
Jionee mwenyewe taswira mbalimbali jinsi kazi inavyoendelea kwa kasi ya ajabu ya ujenzi wa Gati jipya Bandari ya Mtwara a
1
Wingi wa vidonge pia kila siku kunywa vidonge sio poa Ndio maana mataifa yaliyoendelea wametengenza kidonge kimoja kw
0
Habari tafadhali tutumie namba ya simu husika kwenye inbox DM ukiambatanisha na maelezo yanayounga mkono tatizo lako ili tuweze kufanya uchunguzi kwa ajili yako Unaweza kututumia ujumbe hapa Ahsante JM
0
Karibu Ni fahari kwetu kukuhudumia VN
1
Asante Sana kwa kutambua mchango wangu katika jamii naamini Twitter imenikutanisha na wewe baada ya kuona haraka
1
Pole sana mteja wetutufahamishe tatizo unalopata tukuhudumie
1
Nawashukuru Sana Watumishi wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Athumani J Kihamia k
1