English
stringlengths
10
266
Sheng
stringlengths
7
264
.His disciples asked him, "Rabbi, who sinned, this man or his parents, that he was born blind?"
Wafuasi wake wakadai, "Rabbi, ebu tushow, nani alido madhambi, huyu mse ama mapero wake, njo hadi akazaliwa m-blind?"
."Neither this man nor his parents sinned," said Jesus, "but this happened so that the work of God might be displayed in his life.
JC akawashow,"Sio huyu mse ama mapero wake ati njo walido sin, lakini ilihappen ivo njo works za sir Godi ziweze kuonekana wazi kwalife yake.
.As long as it is day, we must do the work of him who sent me. Night is coming, when no one can work.
Kwa ile muda yote yenye bado mchana, ni lazima tudunge works/wax za mwenye alinisend. Ju usiku inakam, ile time hanaku mse anaweza do janta.
.While I am in the world, I am the light of the world."
Hivi vile niko kwa world, mimi ni light ya ulimwengu."
.Having said this, he spit on the ground, made some mud with the saliva, and put it on the man's eyes.
Akisha bonga hivi, akaspit kwa grao, aka-make matope kidogo na ile mate, alafu akaipaka ju ya macho za yule mse.
."Go," he told him, "wash in the Pool of Siloam" (this word means Sent). So the man went and washed, and came home seeing.
Akamshow, "Niaje ishia uoge kwa ile pool iko Siloam (Hiyo word hu mean mwenye amesendiwa)." Kwa ivo jamaa akaishia akaoga, akarudi kejani akiwa anacheki poa.
.His neighbors and those who had formerly seen him begging asked, "Isn't this the same man who used to sit and beg?"
Ma neiba wake na wale zamo walikuwa wakimcheki ni beggar, wakamwuliza, "Haiya! Si huyu njo yule jamaa alikuwaga akipoleaga down kuomba?"
.Some claimed that he was.Others said, "No, he only looks like him." But he himself insisted, "I am the man."
Wengine wakadai ni yeye. Wengine wakakwara,"Zii! Anakaa tu kama yeye." Lakini ye mwenyewe akadai na bidii,"Ni mi huyo mse."
."How then were your eyes opened?" they demanded.
Wakauliza , "So basi, macho zako ziliopen aje?"
.He replied, "The man they call Jesus made some mud and put it on my eyes. He told me to go to Siloam and wash. So I went and washed, and then I could see."
Akajibu, "Aah! Manze yule boy wanaitaga Jesus alikam akaunda matope kiasi na akaiweka kwa macho yangu. Kisha akanishow niishie hadi Siloam kunawa. So vile nili go nanikaoga, ivo tu nikaanza kucheki."
."Where is this man?" they asked him."I don't know," he said.
Wakamwuliza niaje, "Huyu jamaa ako where?" Akawajibu "Simesei."
.They brought to the Pharisees the man who had been blind.
Wakampeleka yule jamaa alizaliwa blind kwa mafarisayo.
.Now the day on which Jesus had made the mud and opened the man's eyes was a Sabbath.
Ile day JC ali unda matope na kufungua macho za jamaa ilikuwaga sabbath.
.Therefore the Pharisees also asked him how he had received his sight. "He put mud on my eyes," the man replied, "and I washed, and now I see."
Kwa hivo wale mapharisayo pia wakadai a do demo ya vile aliget sight yake.Jamaa akawajibu,"Alikwachu matope akaiseti kwa macho yangu, nikanawa, na sa ninacheki."
.Some of the Pharisees said, "This man is not from God, for he does not keep the Sabbath." But others asked, "How can a sinner do such miraculous signs?" So they were divided.
Wengine wa wale wadhii walikuwa hapo wakadai, "Huyu mse hatoki kwa sir Godi, ju ha keep the sabbath." Lakini wengine wakaulizana, "Kwani, mtu gani wa gizani anaweza ku pull ma miracles ka hizi?" Kwa hivyo wakabaki wamedivide ika.
.Finally they turned again to the blind man, "What have you to say about him? It was your eyes he opened."The man replied, "He is a prophet."
Mwishowe wakapinduka ivi back kwa yule guy m-blind wakamwuliza, "We una stori gani ju yake? Si ni macho zako njo alifungua." Jamaa akadai, "Manze huyo guy ni prophet."
.The Jews still did not believe that he had been blind and had received his sight until they sent for the man's parents.
Wale jews bado hawakuamini that ati alikuwaga m-blind na ati ali get sight yake, hadi wakatumanisha mapero wake waitwe.
."Is this your son?" they asked. "Is this the one you say was born blind? How is it that now he can see?"
Wakadai, "Huyu ni mkidi wenu? Huyu njo mnasay alizaliwa blind? Niaje tena sasa anacheki?"
."We know he is our son," the parents answered, "and we know he was born blind.
Mapero wakajibu na ujanjez, "Tunamesea ni mtoi wetu, na tunajua alizaliwa blind.
.But how he can see now, or who opened his eyes, we don't know. Ask him. He is of age; he will speak for himself."
Lakini as to vile sa anaweza cheki, ama ati ni nani alimfungua macho, hatumesei. Mwulizeni by the way. Si ye ni mse ana miaka; anaweza jibongea."
.His parents said this because they were afraid of the Jews, for already the Jews had decided that anyone who acknowledged that Jesus was the Christ would be put out of the synagogue.
Maperoz wake walisema ivo ju walikuwa wamegwaya sababu ya wayahudi, ju tayari wayahudi walikuwa wamekata kesi ati mse any mwenye ata confess ati JC njo kristo angechujwa nje ya synagogue.
.That was why his parents said, "He is of age; ask him."
Njo maana mapero wakajibu na ujanja, "Ye ako na miaka enough; mwulizeni."
.A second time they summoned the man who had been blind. "Give glory to God," they said. "We know this man is a sinner."
Mara ya mbe jamaa alikuwa amezaliwa blind aka summoniwa. "Peana Glory kwa sir Godi. "Tunamesea huyu jamaa ni wa gizani."
.He replied, "Whether he is a sinner or not, I don't know. One thing I do know. I was blind but now I see!"
Akawajibu, "Ka ni mse wa gizani ama not simesei. Kitu moja najua lakini. Nilikuwa mblind lakini sasa ninache-ninacheki!"
.Then they asked him, "What did he do to you? How did he open your eyes?"
Kisha wakamwuliza, 'Kwani alido nini kwako? Alifunguaje macho yako?"
.He answered, "I have told you already and you did not listen. Why do you want to hear it again? Do you want to become his disciples, too?"
Akawashow niaje, "Nimewashow tayari na hamkuskiza. Kwa nini mnawant kuskia tena? Ama mnadai kuwa disciples wake pia?"
.Then they hurled insults at him and said, "You are this fellow's disciple! We are disciples of Moses!
Kisha hapo wakamtusi vimeja na kumshow, "We njo ni mfuasi wa this jamaa! Si ni disciples wa Mose!
.We know that God spoke to Moses, but as for this fellow, we don't even know where he comes from."
Tunamesea that sir Godi alibonga na Mose, lakini huyu jamaa, hatumesei hata place alitokezea from."
.The man answered, "Now that is remarkable! You don't know where he comes from, yet he opened my eyes.
Kisha jamaa akajibu, "Sa si hiyo inashangaza vimeja! Hamjui hata ni wapi anatoka, na alifungua macho zangu.
.We know that God does not listen to sinners. He listens to the godly man who does his will.
Tunamesea that sir Godi haskizangi ma sinners. Ye huskiza tu yule mse Godly ana do vile sir Godi anataka.
.Nobody has ever heard of opening the eyes of a man born blind.
Hakuna mse amewahi skia about macho za mse blind kufunguliwa.
.If this man were not from God, he could do nothing."
Ka huyu mse hangekuwa from sir Godi, ange do nothing."
.To this they replied, "You were steeped in sin at birth; how dare you lecture us!" And they threw him out.
Ju ya hizi vibes wakareply, "Ulizaliwa ukiwa umesoak-iwa in sin toka utotoni; unawezaje dare kutu lecture hapa!" Na wakamchuja nje.
.Jesus heard that they had thrown him out, and when he found him, he said, "Do you believe in the Son of Man?"
JC akaskia ati walikuwa wamemchuja nje, so vile alimpata, akamshow,"Una amini in the son of man?"
."Who is he, sir?" the man asked. "Tell me so that I may believe in him."
Jamaa akauliza, "Ye njo nani, boss? Nishow njo at least niamini in him."
.But Jesus went to the Mount of Olives.
Lakini JC akaishia up hadi Mlima Olives.
.At dawn he appeared again in the temple courts, where all the people gathered around him, and he sat down to teach them.
Sa ngware akatokezea tena kwa verandah za temple, place kila mse alikam kugather around yeye, na akapolea down kuwafunza.
.The teachers of the law and the Pharisees brought in a woman caught in adultery. They made her stand before the group
Ma odijo wa sheria na wale mafarisayo wakaleta ndani manzi fulani alikuwa amepatikana akigawa. Wakamfanya asimame mbele ya ile rende
.and said to Jesus, "Teacher, this woman was caught in the act of adultery.
alafu wakshow JC, "Teacher, huyu manzi alipatikana akiwa in the act ya kukuta vitu.
.In the Law Moses commanded us to stone such women.Now what do you say?"
Kwa sheria Mose alitupea orders ati suchwomen lazima wapigwe mawe. Sa we unasema aje ju ya hiyo stori?"
.They were using this question as a trap, in order to have a basis for accusing him.But Jesus bent down and started to write on the ground with his finger.
Walizua hii swali wakaitumia kama mtego, njo sasa ikuwe ni basis ya ku accuse JC. JC akainama down na kuanza kuchora chora kwa grao na kidole yake.
.When they kept on questioning him, he straightened up and said to them, "If any one of you is without sin, let him be the first to throw a stone at her."
Vile walizidi kumwuliza maswali, akastraighten upalafu akawashow, "ka kuna mse any mwenye hana dhambi, basi wacha awe wa fao kumrushia jiwe huyu manzi."
.Again he stooped down and wrote on the ground.
Akainama tena akazidi kuchora down kwa grao.
.At this, those who heard began to go away one at a time, the older ones first, until only Jesus was left, with the woman still standing there.
Ju ya iyo, wale wadhii waliskia wakaanza kuishia one at a time, wale wazae kwanza, hadi JC pekee akabaki na yeye peke yake, huyo manzi akiwa bado amesimama hapo.
.Jesus straightened up and asked her, "Woman, where are they? Has no one condemned you?"
JC akastraighten up tena nakumwuliza, "Madam, wako wapi? Hakuna mse mwenye amekujudge?"
."No one, sir," she said."Then neither do I condemn you," Jesus declared. "Go now and leave your life of sin."
Manzi akabonga,"Hakuna mse boss," JC akadeclare, "Hata mimi basi sikuhukumu.Ishia na usare ile maisha ya madhambi."
.When Jesus spoke again to the people, he said, "I am the light of the world. Whoever follows me will never walk in darkness, but will have the light of life."
Vile JC alibonga tena na wasee, alisema, "Mimi njo light ya world. Mwenye atanifuata hatawai walk ndani ya giza, lakini atakuwa na ile light ya maisha."
.The Pharisees challenged him, "Here you are, appearing as your own witness; your testimony is not valid."
Wale mafarisayo wakamdunga challenge, "We uko hapa, umejisimamia ka witness wako mwenyewe; so testimony yako haikubaliki."
.Jesus answered, "Even if I testify on my own behalf, my testimony is valid, for I know where I came from and where I am going. But you have no idea where I come from or where I am going.
JC akamshow, "Hata nikishuhudia ju yangu personally, testimony yangu ni imestand, ju najua place nimetokafrom na ile place naishia. Lakini hamna idea ya place nimetoka ama place naishia.
.You judge by human standards; I pass judgment on no one.
Mna judge mkitumia human standards;mi hata si judge mse yeyote.
.But if I do judge, my decisions are right, because I am not alone. I stand with the Father, who sent me.
Lakini nikijudge, decisions zangu ziko poa jua, siko solo.Nasimama na mbuyu, mwenye alinisend.
.In your own Law it is written that the testimony of two men is valid.
Kwa sheria yenu wenyewe imeandikwa that testimony ya wase wawili njo imestand kukubalika.
.I am one who testifies for myself; my other witness is the Father,who sent me."
Mi ni mmoja nimeshuhudia ju ya myself; witness wangu mwingine ni mbuyuz, mwenye amenisend."
.Then they asked him, "Where is your father?" "You do not know me or my Father," Jesus replied. "If you knew me, you would know my Father also."
Kisha wakamwuliza, "Wapi mbuyu wako?" JC akawajibu,"Hamumesei mimi wala mbuyuz wangu, ju kama mngenijua, mngejua pia mbuyu wangu ni nani pia."
.He spoke these words while teaching in the temple area near the place where the offerings were put. Yet no one seized him, because his time had not yet come.
Alibonga hizi ma words akiwa anafunza ndani ya area ya temple karibu na ile place penye ma offerings huwekwa. Lakini hakuna mse alimshika, ju timeyake haikuwa imefika.
.Once more Jesus said to them, "I am going away, and you will look for me, and you will die in your sin. Where I go, you cannot come."
Marainginetena JC akwashow,"Naishia away, na mtanisaka, namtadedi katika dhambi zenu. Place naishia, hamwezi kam."
.This made the Jews ask, "Will he kill himself? Is that why he says, 'Where I go, you cannot come'?"
Hii ikafanya wayahudi wadai, "Kwani atacommit suicide? Kwani,can hiyo be the reason kwa nini anasema, "place naishia, hamwezi kam'?"
.But he continued, "You are from below; I am from above. You are of this world; I am not of this world.
Lakini akazidi kubonga, "Nyi niwa nichi; mi ni wa juu. Nyi ni wa hii world; mi sio wa hii world.
.I told you that you would die in your sins; if you do not believe that I am the one I claim to be,you will indeed die in your sins."
Niliwashow kuwa mta dedi in your sins; ka hamuamini thatmi njo theone na caim o be, for sure mtadedi in your sins."
."Who are you?" they asked."Just what I have been claiming all along," Jesus replied.
Wakamwuliza,"we ni nani?" Akawashow,"Ni vile tu nimekuwa nikidai all along,"
."I have much to say in judgment of you. But he who sent me is reliable, and what I have heard from him I tell the world."
"Nina much ya kubonga kama judgement yenu. Lakini yule mwenye alinituma yuko reliable,na chenye nimeskia toka kwake mi nashow world."
.They did not understand that he was telling them about his Father.
Hawakunyita chenyealikuwa akiwashow kumhusu mbuyuz wake.
.So Jesus said, "When you have lifted up the Son of Man, then you will know that I am the one I claim to be and that I do nothing on my own but speak just what the Father has taught me.
So JC akasei, "Vile mtainua mtoi chali wa adam juu, hapo njo mtamesea that mimi ni yule nimekuwa nikidai kuwa na that sifanyi anything kwamy own lakini nabonga just chenye mbuyu amenifunza.
.The one who sent me is with me; he has not left me alone, for I always do what pleases him."
Yule mwenye amenituma ako na mimi;hajaniwacha solo, ju always mi hufanya chenye
.Even as he spoke, many put their faith in him.
kinampendeza."
.To the Jews who had believed him, Jesus said, "If you hold to my teaching, you are really my disciples.
Hatavile alizidi kubonga, wengi waliweka faitha yao ndani yake.
.Then you will know the truth, and the truth will set you free."
Kwa wale ma jewa wenye walikuwa wamemwamini, JC akadai, "mkishikilia on to teachings za mine, basi nyi njo wale disciples wa reali.
.They answered him, "We are Abraham's descendants and have never been slaves of anyone. How can you say that we shall be set free?"
Kisha hapo mtamesea the truth, na alafu the truth itawafanya muwe huru."
.Jesus replied, "I tell you the truth, everyone who sins is a slave to sin.
Wakamjibu, "si ni wajukuu wa Abraham nahatujawahi kuwa slaves wa anyone. So unawezaje dai ati tutawekwa free?"
.Now a slave has no permanent place in the family, but a son belongs to it forever.
JCakawajibu, "Nawashow ukweli,kilamsee mwenye ana do dhambi ako a slave kwa dhambi.
Sa a slave hana place ya perma ndani ya famo, lakini mtoi son ana belong kwa famo foree.
Kwa hivo son akikuweka free, utakuwa free kabisa.
.So if the Son sets you free, you will be free indeed.
Najua nyi ni wajukuu wa Abraham. Na bado mko ready kunimada, ju hamna nafasi ya word yangu.
.I know you are Abraham's descendants. Yet you are ready to kill me, because you have no room for my word.
Nawashow chenyenimecheki kwa presence ya mbuyuz wangu, na nyi mna do chenye mmeskia kwa mbuyuz wenu."
.I am telling you what I have seen in the Father's presence, and you do what you have heard from your father."
Wakajibu, "Abraham njo mbuyuz wetu." JC akasema, "Ka nyi ni watoi wa Abraham, basi mnge do zile vitu Abraham ali do.
."Abraham is our father," they answered."If you were Abraham's children," said Jesus, "then you would do the things Abraham did.
Lakini vile iko saa hii, mmejitolea vilivyo kunimaliza,mse mwenye amewadunga realli that nimeskia from sir Godi.Abraham hange do vitu ka hizo.
.You are doing the things your own father does." "We are not illegitimate children," they protested. "The only Father we have is God himself."
na do zile vitu mbuyu wenu hu do." wakazusha wakisema,"Si sio watoi wa nje, yule mbuyuz pekee mwenye tuko naye ni sir Godi mwenyewe."
.Jesus said to them, "If God were your Father, you would love me, for I came from God and now am here. I have not come on my own; but he sent me.
JC akawashow, "Ka sir Godi ni mbuyuz wenu, mngenipenda, ju nilitoka fro sir Godi na sasa niko asapa. Sijakam kwa niaba yangu mwenyewe; lakini amenisend.
.Why is my language not clear to you? Because you are unable to hear what I say.
Mbona lugha yangu bado haieleweki kwenu vi clear? Ju bado mmeshindwa kuniskia chenye nabonga.
.You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father's desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of lies.
Mna belong kwa mbuyuz wenu, the devil, na mnataka ku do mapenzi ya mbuyuz wenu. Ye alikuwa murderer from beginning, bila kushikilia ukweli, ju hanaku ukweli in him. Akidanganya, anabonga mother tongue yake, ju he is a liar na ni mbuyu wa uongo.
.Yet because I tell the truth, you do not believe me!
Yet ju nawashow ukweli,hamuniamini!
.Can any of you prove me guilty of sin? If I am telling the truth, why don't you believe me?
Kuna any of you anaweza ku prove niko guilty na dhambi? Ka nawashow ukweli basi, mbona bado hamniamini?
.He who belongs to God hears what God says. The reason you do not hear is that you do not belong to God."
Mwenyeanabelong kwa sir Godi anaskiza chenye sir Godi anabonga. Ile reason hamskii ni ju hamubelong kwa sir Godi."
.The Jews answered him, "Aren't we right in saying that you are a Samaritan and demon-possessed?"
Wayahudi wakadai, "Si sasa tuko sawa tukidai that wewe ni samaritan kwanza mwenye amepagawa na shaitula?"
."I am not possessed by a demon," said Jesus, "but I honor my Father and you dishonor me.
JC akasema, "Sijapagawa na devo, lakini na respect mbuyuz wangu na nyi mnanidharau.
.I am not seeking glory for myself; but there is one who seeks it, and he is the judge.
Sitafuti glory yangu mwenyewe;lakini kunamwenye anaisaka,na ye njo the judge.
.I tell you the truth, if anyone keeps my word, he will never see death."
Nakushow ukweli, ka mse atakeep word yangu, hatawahi cheki death."
.At this the Jews exclaimed, "Now we know that you are demon-possessed! Abraham died and so did the prophets, yet you say that if anyone keeps your word, he will never taste death.
Kufika hapo wale wayahudi wakawika,"Sa tunamesea wewe umepagawa mashaito! Abraham alisha die na hadi ma prophet, yet unadai that ka mse any atakeep word yako, hatawahi onja death.
.Are you greater than our father Abraham? He died, and so did the prophets. Who do you think you are?"
Kwani weni mbwaku kumshinda mbuyuz Abraham? Ye alidedi, na pia wale maprophets. Kwani who do you think you are?"
.Jesus replied, "If I glorify myself, my glory means nothing. My Father, whom you claim as your God, is the one who glorifies me.
JC akajibu, "Nikiji glorify mwenyewe, glory yangu hai mean any. Mbuyuz wangu,mwenye mnadai njo sir Godi wenu, ye njo ameniglorify.
.Though you do not know him, I know him. If I said I did not, I would be a liar like you, but I do know him and keep his word.
Though hamummesei, namujua. Ka nilisei simjui, ningekuwa mwongo ka nyinyi, lakini nammesea na na keep word yake.
.Your father Abraham rejoiced at the thought of seeing my day; he saw it and was glad."
Mbuyuz wenu Abraham alirejoice at the thought ya kucheki siku yangu; alicheki na akajazika sana."
."You are not yet fifty years old," the Jews said to him, "and you have seen Abraham!"
Wayahudi wakamcheki,"We hata bado haujafikisha miaka fifty,na ushacheki Abraham!"
.After this, Jesus went around in Galilee, purposely staying away from Judea because the Jews there were waiting to take his life.
Baada ya hapo JC akapiga raundi Galilee,akilenga kufika Judea kimaksudi ju wase wa huko, majews walikuwa wanategea afike wam assassinate.
.But when the Jewish Feast of Tabernacles was near,
Lakini vile bash ya majews ilifika karibu,
.Jesus' brothers said to him, "You ought to leave here and go to Judea, so that your disciples may see the miracles you do.
JC akashoiwa na mabro wake ati,"Una faa kuishia toka hapa na uende Judea, njo hapo sasa, disciples wako wacheki zile miracles una do.
.No one who wants to become a public figure acts in secret. Since you are doing these things, show yourself to the world."
Ju hakuna mse anataka kuwa celeb mwenye atafanya vitu chini ya maji. Sa Ju wewe unado hizi vitu, jionyeshe kwa world wazi wazi."
.For even his own brothers did not believe in him.
Ju hadima bro wake wenyewe hawakumbelieve.
.Therefore Jesus told them, "The right time for me has not yet come; for you any time is right.
Kwa ivo JC akawashow, "ile time yangu right haijafika; ju kwenu kila time ni poa.
.The world cannot hate you, but it hates me because I testify that what it does is evil.
World haiwezi wa hate, lakini inani hate ju na testify kuwa chenyeina do ni wiked.
.You go to the Feast. I am not yet going up to this Feast, because for me the right time has not yet come."
Nyi ishieni kwa bash. Mimi bado siendi juu kwa hii bash, ju for mimi ile time sawa bado haijafika."