English
stringlengths
10
266
Sheng
stringlengths
7
264
.Jesus answered, "I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.
Jesus akajibu, "Cheki, mi njo the baro na ukweli na life. Hanaku mse anakam kwa buzzenga except akam amenipitia.
.If you really knew me, you would know my Father as well. From now on, you do know him and have seen him."
Ka nyi mnanimesea cha kabisa, mngemesea mbuyuz wangu pia. Toka sasa kuendelea, mnammesea na mshamcheki."
.Philip said, "Lord, show us the Father and that will be enough for us."
Philo akadai, "Bwana mdosi, tushow tu mbuyu ni nani na iyo itatutosha."
.Jesus answered: "Don't you know me, Philip, even after I have been among you such a long time? Anyone who has seen me has seen the Father. How can you say, 'Show us the Father'?
JC akajibu: "Kwani hunimesei, Philo, hata baada ya kuwa kati yenu izo time mob sana? Yeyote mwenye amenicheki amecheki mbuyuz. Munawezaje sema, 'Tushow mbuyuz'?
.Don't you believe that I am in the Father, and that the Father is in me? The words I say to you are not just my own. Rather, it is the Father, living in me, who is doing his work.
Hamuamini ati niko ndani ya mbuyuz na ati mbuyuz ako ndani yangu? Zile mawords nawabongesha sio ati ni zangu pekee. Lakini ni mbuyu mwenye anaishi ndani yangu, mwenye anado works zake.
.Believe me when I say that I am in the Father and the Father is in me; or at least believe on the evidence of the miracles themselves.
Niamini nikiwashow kuwa niko ndani ya mbuyuz na that mbuyuz akondani yangu;ama at least amini kupitia zile form A za miracles zenyewe.
.I tell you the truth, anyone who has faith in me will do what I have been doing. He will do even greater things than these, because I am going to the Father.
Nawa elezea truth, mse yeyote mwenyeakona faith ndani ya mimi atado whatever nimekuwa nikido. Ata do vitu kubwa more than hizi, ju narudi back kwa mbuyuz.
.And I will do whatever you ask in my name, so that the Son may bring glory to the Father.
Na nitado chochote mna ask kwa jina yangu,njo the son alete glory kwa mbuyuz.
.You may ask me for anything in my name, and I will do it.
Mnaweza ask mimi chochote kwa jina yangu, na nitai do.
."If you love me, you will obey what I command.
"Kama munanipenda, mutaobey chenye nimewashow.
.And I will ask the Father, and he will give you another Counselor to be with you forever—
Na mi nitauliza mbuyuz, na atawagei mse wa counselling mwenye atakuwa na nyi foree-
.the Spirit of truth. The world cannot accept him, because it neither sees him nor knows him. But you know him, for he lives with you and will be in you.
spirit wa ukweli. World haiwezi muaccept, ju haimcheki wala haimmesei. Lakini nyi mnammesea, ju ana live na nyinyi na atakuwa ndani yenu.
.I will not leave you as orphans; I will come to you.
Sitawaacha kama orphans; nitakam kwenu.
.Before long, the world will not see me anymore, but you will see me. Because I live, you also will live.
Bafore masaa kupita sana, world haitanicheki tena, lakininyi mtanicheki. Ju niko alive, nyi pia mtaishi.
.On that day you will realize that I am in my Father, and you are in me, and I am in you.
Iyo day njo mtanyita that mimi niko ndani ya mbuyus wangu,na that nyi mko ndani ya mimi, na mimi ndani yenu.
.Whoever has my commands and obeys them, he is the one who loves me. He who loves me will be loved by my Father, and I too will love him and show myself to him."
Mwenye ako na commands zangu nanazi obey, yenjo mse amenipenda.Ye mwenyeamenipenda atapendwa na mbuyuz wangu, na mi pia nitampenda na kujishow kwake."
.Then Judas (not Judas Iscariot) said, "But, Lord, why do you intend to show yourself to us and not to the world?"
Kisha Judee (sio Iscariot) akabonga,"Lakini bwana mdosi,mbona ume intend kuji show kwetu na sio kwa world?"
.Jesus replied, "If anyone loves me, he will obey my teaching. My Father will love him, and we will come to him and make our home with him.
JC akamjibu niaje, "Ka mse ananipenda, ataobey teachings zangu.Mbuyuz wangu atampenda, na tutakam kwake tumake home yetu nayeye.
.He who does not love me will not obey my teaching. These words you hear are not my own; they belong to the Father who sent me.
Yule mse hanipendi hataobey teachings za mine. hizi maneno mnaskiza sio zangu; zina belongkwa mbuyuz mwenye alinisend
."All this I have spoken while still with you.
"Hizi zote nimebonga nikiwa bado na nyinyi.
.But the Counselor, the Holy Spirit, whom the Father will send in my name, will teach you all things and will remind you of everything I have said to you.
Lakini yule counselor, holyspirit,mwenye mbuyuz alituma na Jina yangu, atawafunza kila kitu nakuwa remind kila kitu nimesema.
.Peace I leave with you; my peace I give you. I do not give to you as the world gives. Do not let your hearts be troubled and do not be afraid.
Amani nawaachia; peace yangu nawagei. Siwagei kama vile world inapeana. Msiache hearts zenu ziget stress na msiingize njeve.
."You heard me say, 'I am going away and I am coming back to you.' If you loved me, you would be glad that I am going to the Father, for the Father is greater than I.
"Msha skia nikibonga, 'Naishia aways na ninakam back kwenu.' Ka mungekuwa munanipenda,mngijazika thatnaishia kwa mbuyuz, ju mbuyuz ni msoo kuniliko.
.I have told you now before it happens, so that when it does happen you will believe.
Nishawashow saa hi kabla i go down, njo vile inahappen mutaamini.
.I will not speak with you much longer, for the prince of this world is coming. He has no hold on me,
Sitawabongesha zaidi ya hapo, ju prince wa hi world anakam. Ye hanigusi,
.It was just before the Passover Feast. Jesus knew that the time had come for him to leave this world and go to the Father. Having loved his own who were in the world, he now showed them the full extent of his love.
Ilikuwaga tu bafore paree ya passover. JC alimesea kuwa matime zilikuwa zimefika zake kukitoa toka world na kuisha kwa mbuyuz.Ju alikuwa amependa wasee wake wenye walikuwa wanapolea earth, sa aliwaonyehsa love yake yote.
.The evening meal was being served, and the devil had already prompted Judas Iscariot, son of Simon, to betray Jesus.
Vile dishi ya jioni ilikuwa ikiserviwa,na devil alikuwa asha ulizia Judee Iscariot, mtoi wa Simo betray Jesus.
.Jesus knew that the Father had put all things under his power, and that he had come from God and was returning to God;
JC alimesea vile fadhe alikuwa asha weka kila kitu chini ya uwezo wake, na pia alikuwa amekam from sir Godi na alikuwa narudi kwa sir Godi;
.so he got up from the meal, took off his outer clothing, and wrapped a towel around his waist.
kisha akaamka from ile dishi, akavua koti, akajifunga towel kwa kiuno.
.After that, he poured water into a basin and began to wash his disciples' feet, drying them with the towel that was wrapped around him.
JKisha baadaye akamwaga maji kwa besheni na kuanza kuosha miguu zadisciples wake, akizi dry na towel yenye ilikuwa around kiuno yake.
.He came to Simon Peter, who said to him, "Lord, are you going to wash my feet?"
Akafikia Simo yule Peter, naye akamshow, "Bwana mdosi, kwani utaosha miguu zangu pia?"
.Jesus replied, "You do not realize now what I am doing, but later you will understand."
JC akajibu,"Hamuelewi vile nina do saa hii, lakini laterz mtamesea."
."No," said Peter, "you shall never wash my feet." Jesus answered, "Unless I wash you, you have no part with me."
"Zi," Peter akadai, "hautawai niosha miguu zangu." JC akajibu, "Unless nioshe miguu zako, hauna part na mimi."
."Then, Lord," Simon Peter replied, "not just my feet but my hands and my head as well!"
"Basi, bwana mdosi," Simo yule Peter akadai,"sio tu miguu zangu basi, hata mikono na head pia!"
.Jesus answered, "A person who has had a bath needs only to wash his feet; his whole body is clean. And you are clean, though not every one of you."
JC akamjibu, "Mse mwenye asha shower ana need tu kuosha miguu;ju mwili wake mzima ako safi. Na nyi ni safi though sio wote."
.For he knew who was going to betray him, and that was why he said not every one was clean.
Ju alishikanisha ni who mwenye angemwuza, njo maana alisay sio nyi wote mko wasafi.
.When he had finished washing their feet, he put on his clothes and returned to his place. "Do you understand what I have done for you?" he asked them.
Vile alimada kuosha miguu zao, alivalia kladi zake na kurejea hadi place yake. Akawauliza aje, "Mnanyita ni what nimewadoiya?"
."You call me 'Teacher' and 'Lord,' and rightly so, for that is what I am.
Mnaniitaga 'odijo' na 'bwana mdosi', na zote ni poa, ju mko right, izo njo mimi niko.
.Now that I, your Lord and Teacher, have washed your feet, you also should wash one another's feet.
Sasa ka mimi bwana mdosi na odijo wenu, nimeosha miguu zenu, nyi pia mnafaa kuwash miguu zenu.
.I have set you an example that you should do as I have done for you.
Nishawasetia example yenye mnafaa ku do vile tu nimewadoiya.
.I tell you the truth, no servant is greater than his master, nor is a messenger greater than the one who sent him.
Nawashow ukweli, hanaku servant ako mbwaku kuliko sonkwo wake,ama ati messenger ako msoo kushinda mwenye alimsend.
.Now that you know these things, you will be blessed if you do them.
Sa vile munamesea hizi vitu, mtakuwa blessed- mtakuwa lembe, mkizi do.
."I am not referring to all of you; I know those I have chosen. But this is to fulfill the scripture: 'He who shares my bread has lifted up his heel against me.'
"Simaanishi nyi wote; najua wale nimechagua. Lakini hii bi ku fulfill ile scripture: 'mwenye anashare mkanyo yangu na mimi ameinua mguu yake against mimi.'
."I am telling you now before it happens, so that when it does happen you will believe that I am He.
"Nawashow sasa way bafore ihappen, njo sasa vile inahappen mutabelieve that mimi njo yeye.
.I tell you the truth, whoever accepts anyone I send accepts me; and whoever accepts me accepts the one who sent me."
Nawashow ukweli, yeyote mwenye anakubali mse nimesend anani-accept; na yeyote mwenye ananiaccept ana accept mwenye amenisend."
.After he had said this, Jesus was troubled in spirit and testified, "I tell you the truth, one of you is going to betray me."
Baada ya JC kubonga ivi, akasumbukana ndani ya spirit yake ikabaki ameshuhudia ivi, "Nawashow ukweli, mmoja wenu anaishia kunibetray."
.His disciples stared at one another, at a loss to know which of them he meant.
Disciples wake wakaangaliana wakishindwa cha kubonga ju hawakuelewa ni nani alimaanisha.
.One of them, the disciple whom Jesus loved, was reclining next to him.
mmoja wao, yule disciple JC alipenda, alikuwa amepolea next kwake.
.Simon Peter motioned to this disciple and said, "Ask him which one he means."
Simo yule Peter akado signs na mkono na kubonga na huyu disciple niaje, "Mwulize ni nani ana mean."
.Leaning back against Jesus, he asked him, "Lord, who is it?"
So aka lean back kwa JC aka mwuliza niaje, "bwana mdosi, ni nani huyu unamaanisha?"
.Jesus answered, "It is the one to whom I will give this piece of bread when I have dipped it in the dish." Then, dipping the piece of bread, he gave it to Judas Iscariot, son of Simon.
JC akajibu, "Ni yule mwenye nitageiana hii piece ya dibre vile nikisha iwekea supuu ya sahani."Alafu, aka dip ile piece ya mkanyo, akaipeana kwa Judee Iscariot, mtoi wa Simo.
.As soon as Judas took the bread, Satan entered into him."What you are about to do, do quickly," Jesus told him,
Vile tu Judee alikwachuile dibre, shaito akamwingia. JC akamshow, "Chenye unaishia ku do, do chap chap,"
.but no one at the meal understood why Jesus said this to him.
Lakini hanakumse pale kwa tebo ya dishi alinyita kwa nini JC alikuwa amemshow ivo.
.Since Judas had charge of the money, some thought Jesus was telling him to buy what was needed for the Feast, or to give something to the poor.
JuJudee njo mwenye alikuwaga na account ya mundee, wengine walidhani ati JC alikuwa akimshow aishie kubuy chenye kilikuwa shoping list for ile paree, ama kugeiana kitu to the poor.
.As soon as Judas had taken the bread, he went out. And it was night.
Vile tu Judee alikuwa amekwachu dibre, akaishia out. Na ilikuwa giza ya night.
.When he was gone, Jesus said, "Now is the Son of Man glorified and God is glorified in him.
Akiwa ameishia, JC akabonga, "Sa yule son wa adam ameglorifaiwa na sir Godi ameglorifaiwa ndani yake.
.If God is glorified in him,God will glorify the Son in himself, and will glorify him at once.
Ka sir Godi ameglorifaiwa in him, sir Godi ata glorify son ndani yake, na atamglorify mara once.
."My children, I will be with you only a little longer. You will look for me, and just as I told the Jews, so I tell you now: Where I am going, you cannot come.
"Watoi wa Mine, nitakuwa na nyi tu time kidogo imebaki bass. mtanisaka, na ka tu vile nimeshow wayahudi, pia nawaeleza sa hii; place naishia hamwezi kam
."A new command I give you: Love one another. As I have loved you, so you must love one another.
"Na wapatia commandment mbichi: pendeni one another. Ka vile nimewapenda, pia nyi pendaneni.
.By this all men will know that you are my disciples, if you love one another."
Kwa kutumia hizi zote wasee watamesea kuwa nyi ni disciples wa mine, ka mnapendana."
.Simon Peter asked him, "Lord, where are you going?" Jesus replied, "Where I am going, you cannot follow now, but you will follow later."
Simo yule Pitaa akamwuliza, "Bwana mdosi, unaishia placegani? JC akamshow, "Place naishia, hamuwezi nifuata saa hii, lakini mtanifuata ma laterz."
.Peter asked, "Lord, why can't I follow you now? I will lay down my life for you."
Pitaa akauliza niaje, "Bwana mdosi, mbona siwezi kufuata saa hii? Nitawekelea life yangu down saabu yako tu."
.Then Jesus answered, "Will you really lay down your life for me? I tell you the truth, before the rooster crows, you will disown me three times!
Kisha JC akamshow, "Kwani kabisa utawekelea life yako down saabu yangu? Nakushow ukwela, bafore ile jogoo iwike, utakuwa umenidinda mara three!
.Six days before the Passover, Jesus arrived at Bethany, where Lazarus lived, whom Jesus had raised from the dead.
Days sita kabla tu passover, JC alifika Bethany, place lazarus alikuwaga akipolea, yule chali JC alirausha from the dead.
.Here a dinner was given in Jesus' honor. Martha served, while Lazarus was among those reclining at the table with him.
Kulikuwa na ka dinner like this imethroiwa ju ya Kumdunga JC respect. Martha njo alido janta ya mboch, na Lazarus alikuwa mmoja wa wale wadhii walikuwa wamerelax kwa meza na JC.
.Then Mary took about a pint of pure nard, an expensive perfume; she poured it on Jesus' feet and wiped his feet with her hair. And the house was filled with the fragrance of the perfume.
Kisha Mary akakwachu chupa ya mafuta, marashi designer; akaimwaga juu yamiguu za JC nakupanguza miguu zake na nywele yake. Hadi hao yote ikasmell ile marashi designer.
.But one of his disciples, Judas Iscariot, who was later to betray him, objected,
Lakini mmoja wa disciples wake, Jude Iscariot, mwenyebaadaye angemwuza, akadinda,
."Why wasn't this perfume sold and the money given to the poor? It was worth a year's wages."
"Niaje, mbona hii perfume haikuuzwa na doh zigeianwe kwa wase msoto? Ilikuwa ka mshahara ya mwaka muzima."
.He did not say this because he cared about the poor but because he was a thief; as keeper of the money bag, he used to help himself to what was put into it.
Hakudai hivo ati ju alijali sana wase msoto, lakini ni ju alikuwa dingo; ka treasurer wa munde alikuwa akijipanga na ile munde ilikuwa ikiwekwa kwa account yao.
."Leave her alone," Jesus replied. " It was intended that she should save this perfume for the day of my burial.
"Wachana na ye akae, JC akamshow. "Ilikuwa imepangwa that dem angesave hii marashi for ile siku ya my burial.
.You will always have the poor among you, but you will not always have me."
Kila time mutakuwaga na wadhi wamesota kati yenu, lakini hamtakuwa na mimi kila time.
.Meanwhile a large crowd of Jews found out that Jesus was there and came, not only because of him but also to see Lazarus, whom he had raised from the dead.
Katika ile hali rende massive ya wayahudi ikagundua ati JC alikuwa hapo so wakakam, sio tu ati ju yake lakini walitaka kucheki live live Lazarus, mwenye alikuwa ameraushwa from death.
.So the chief priests made plans to kill Lazarus as well,
Kwa ivo priest sonkwo akamake plans kumada Lazaro pia.
.for on account of him many of the Jews were going over to Jesus and putting their faith in him.
Ju saabu yake tu, wase wengijews walikuwa wakiishia kwa JC na kuplace imani yao in him.
.The next day the great crowd that had come for the Feast heard that Jesus was on his way to Jerusalem.
Ile siku next rende bwaku yenye ilikuwa imekam kwa sbababu ya pare ikaskia ati JCalikuwa njiani kukam Jerusa.
.They took palm branches and went out to meet him, shouting,"Hosanna!"
Wakakwachu ma branches za palm trees na kuishia nje kukutana na yeye, waki holler, "Hosanna!"
"Blessed is he who comes in the name of the Lord!" "Blessed is the King of Israel!"
Blessed ni yule jamaa mwenye amekam kwa Jina la bwana mdosi!" "Ako blessed, king wa Israel!"
.Jesus found a young donkey and sat upon it, as it is written,
JC akapata punda moja hapo kijanaa,yani yankee akapolea ju yake, vile tu imeandikwa,
."Do not be afraid, O Daughter of Zion; see, your king is coming,seated on a donkey's colt."
"Usiogope, wewe dotee wa Zion; cheki, king wako anakam, amepoa juu ya mjunior wa punda."
.At first his disciples did not understand all this. Only after Jesus was glorified did they realize that these things had been written about him and that they had done these things to him.
Kwanza kabisa wafuasi wake hawakushika rada kuhusu stori yote. Lakini after JC apate glory yake njo walianza kumesea vile hizi prophesy zilikuwa zinaendelea zenye zilichorwa kumhusu.
.Now the crowd that was with him when he called Lazarus from the tomb and raised him from the dead continued to spread the word.
Sa ile group ya wale wadhi wengi wenye walikuwa nayeye vile aliita Lazaro toka kwa grave na kumrausha toka the dead wakazidi kusambaza ile word.
.Many people, because they had heard that he had given this miraculous sign, went out to meet him.
Wadhi kibao, ju walimesea chenye alikuwa ame do ishara ingine miraculous, wakaishia out kumcheki.
.So the Pharisees said to one another, "See, this is getting us nowhere. Look how the whole world has gone after him!"
LKisha wale mafarisayo wakashoiana, "Cheki, hii mpango haitupeleki anywhere. Si unaona vile world yote iemfuata bumper!"
.Now there were some Greeks among those who went up to worship at the Feast.
Sa kulikuwa na ma greeks fulani kati ya wale walikuwa wameishia kuworship sir Godi kwa ile paree.
.They came to Philip, who was from Bethsaida in Galilee, with a request. "Sir," they said, "we would like to see Jesus."
Wakakam kwa Philo, mwenye alitokezea Bethsaida ya Galilee, kumshow request. "Boss," wakadai, "tungependa kucheki Jesus."
.Philip went to tell Andrew; Andrew and Philip in turn told Jesus.
Philo akaishia kushow Andrew; Andrew na Philo wakashow JC.
.Jesus replied, "The hour has come for the Son of Man to be glorified.
JC akajibu aje, "Saa imefika ya mtoi wa sir Godi kuwa glorified.
.I tell you the truth, unless a kernel of wheat falls to the ground and dies, it remains only a single seed. But if it dies, it produces many seeds.
Nawashow ukweli, kabla mbegu ya ngano haijadunda kwa grao idedi, inabakigi tu mbegu moja. Lakini ikidedi, ina zaa mbegu most.
.The man who loves his life will lose it, while the man who hates his life in this world will keep it for eternal life.
Yule jamaa analovemaisha yake atailostisha, ilhali yule jamaa mwenye anahate life yake kwa hii world atakaa na yo hadi aingie life ya milele.
.Whoever serves me must follow me; and where I am, my servant also will be. My Father will honor the one who serves me.
Mwenye ananiserve lazima anifuate; na ile place niko,servant wangu atakuwa hapo pia. Mbuyuz wangu ataheshimu yule jamaa mwenye ameniserve.
."Now my heart is troubled, and what shall I say? 'Father, save me from this hour'? No, it was for this very reason I came to this hour.
"sa heart yangu iko na mashida,nitasema what? 'Fadhe niokolee from hi hour'? Zi, ju ilikuwa for this reason exactly njo nilikam kufika this hour.
.Father, glorify your name!" Then a voice came from heaven, "I have glorified it, and will glorify it again."
Fadhe, glorify jinayako!" Kisha sauti ikakam toka heaven,"Nishaiglorify,na nitaiglorify tena."
.The crowd that was there and heard it said it had thundered; others said an angel had spoken to him.
Rende yenye ilikuwa hapo na kuskia iyo sauti inasema sauti ilikuwa ka mngurumo; wengine walidai angel alikuwa amebongana yeye.
.Jesus said, "This voice was for your benefit, not mine.
JC akamshow niaje, "Hii voice ilikuwa ju ya benefit yenu, sio yangu.
.Now is the time for judgment on this world; now the prince of this world will be driven out.
Sasa njo ile time ya judgement ndani ya world; sa yule prince wa hii world atachujwa nje na force.
.But I, when I am lifted up from the earth, will draw all men to myself."
Lakini mi nikishaa inuliwa from earth, nitawavutia wasee wotekwangu."
.He said this to show the kind of death he was going to die.
Alibonga hivi kuonyesha ile type ya death alikuwa angededi.
.The crowd spoke up, "We have heard from the Law that the Christ will remain forever, so how can you say, 'The Son of Man must be lifted up'? Who is this 'Son of Man'?"
Rende ya wadhii ikazungumza, "umeskia toka kwa law ati kristo atabakia forever, no niaje unasema ati, 'Mtoi son wa adam lazima ainuliwe juu'? Huyu mtoi 'son wa adam' ni nani'?"
.Then Jesus told them, "You are going to have the light just a little while longer. Walk while you have the light, before darkness overtakes you. The man who walks in the dark does not know where he is going.
Kisha JC akawashow, "Mtakuwa nalight just kidogo tu zaidi.Tembea kabado una taa, kabla giza haijaku overtake. Yule jamaa anatembea kwa giza hajui ni wapi anaishia.
.Put your trust in the light while you have it, so that you may become sons of light." When he had finished speaking, Jesus left and hid himself from them.
Wekeni trust yenu ndani ya light ile time bado mko nayo, njoa mkuwe watoi sons wa mwangaza." Vile alimada kuongea, JC akaishia akajificha from them.