text
stringlengths
10
3.8k
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoambukizwa katika kundi [/INST] Watu huambukizwa ugonjwa huu kwa kugusa damu na majimaji ya mwili wa wanyama walioambukizwa wakati wanapowachinja, au wanapowasaidia kuzaa au wanapogusa vitoto/vijusi vilivyofia tumboni na viungo vyao. Binadamu pia wanaweza kuambukizwa kwa kula nyama au viungo vya wanyama walioambukizwa visivyopikwa vizuri au kwa kuumwa na mbu.
Picha 5.1.2 Mzunguko huu unaoonyesha jinsi maambukizi ya virusi vya homa ya Rift Valley yanavyofanyika. Huwa wanasambaza virusi hivyo kwa mifugo wakati wanapowanyonya damu. Pia wanaweza kuambukiza binadamu virusi hivyo, lakini visa vingi vya homa ya Rift Valley miongoni mwa wanadamu hutokana na mgusano wa moja kwa moja na wanyama wanaougua ugonjwa huo. Hili hutokea binadamu anapomsaidia mnyama anayetupa mimba au wakati wa kuchinja wanyama walio wagonjwa. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Huathiri wanyama wengi, hasa baada ya msimu mrefu wa mvua kubwa wakati ambapo mbu wengi huzaana na kukua. </s>
<s>[INST] Usambaaji [/INST] Ugonjwa huu unaweza kuua karibu asilimia 10-50 ya wanyama wachanga. Wanyama waliokomaa wanaweza kuambukizwa lakini wengi wanaoambukizwa hawafi (karibu asilimia 10 pekee ndio hufa). </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ugonjwa huu hutokea hasa baada ya msimu mrefu wa mvua kubwa na ya mafuriko. Visa vichache pia hutokea wakati wa mvua ya kawaida, lakini mara nyingi visa vinavyotokea katika hali kama hii hukosa kubainishwa. Ugonjwa huo nchini Kenya hutokea hasa katika maeneo ya kaskazini mashariki, pwani, Kati ya Kenya, na kaskazini mwa Bonde la Ufa (Naivasha, Baringo, Uasin Gishu na Trans Nzoia). </s>
<s>[INST] Uzuiaji wa ugonjwa wa maziwa miongoni mwa binadamu [/INST] Chanzo kikuu cha kusambaa kwa ugonjwa wa maziwa ni ulaji wa lishena unywaji wa maji yaliyoambukizwa kutokana na wanyama walioathirika. viini . Watu wanaweza kuambukizwa ugonjwa huu kutokana na unywaji wa maziwa mabichi yaliyoambukizwa au vijusi na kondo/tando zinazolinda vijusi hivyo tumboni. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Kuhakikisha binadamu anakunywa maziwa yaliyochemshwa, upikaji bora wa nyama na kuepuka kugusana moja kwa moja na viungo vya wanyama walioambukizwa. Harakati ya kumsaidia mnyama kuzaainafaa itekelezwe kwa kutumia mavazi ya kujikinga mwili. </s>
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoathiriwa katika kundi [/INST] Virusi vinavyosababisha ugonjwa huu hutoka na kinyesi, au kutokea katika mate na machozi ya wanyama walioambukizwa. Wanyama wazima kiafya hupata ugonjwa huu kwa kugusana moja kwa moja na kinyesi chenye virusi. Aidha, ugonjwa huu unaweza kuambukizwa kupitia majimaji ya hewani pale wanyama walioambukizwa wanapowekwa pamoja au kwa karibu na wazima kiafya. Mchoro 6.1.1 Ukionyesha jinsi virusi vya PPR vinavyoambukizwa kupitia kwa kikohozi kutoka kwa wanyama walioambukizwa hadi wanyama wazima kiafya. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Miongoni mwa wanyama walio hatarini, wengi wao huambukizwa. Kiwango cha maambukizi mapya hasa huwa chini katika maeneo ambayyo ugonjwa huu hutokea mara kwa mara. Wanyama wachanga huathiriwa zaidi ya wanyama waliokomaa. </s>
<s>[INST] Kutembea au kusafirishwa kwa wanyama [/INST] Wengi wa wanyama walioathirika, hasa miongoni mwa wale wachanga, hufa. Wanyama waliokomaa huweza kustahimili ugonjwa huu kwa muda mrefu hadi wanapopona hatimaye. </s>
<s>[INST] Dalili kuu za ugonjwa huu [/INST] Kipindi kirefu cha kiangazi kinachochangia wanyama wengi kujazana katika maeneo machache yenye maji na malisho. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Majimaji yasiyo na rangi kutokea puani katika hatua za awali za ugonjwa huu. Baadaye majimaji hayo huanza kuwa mazito katika hatua za baadaye </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu huuenea kupitia pumzi ya wanyama walioambukizwa. Pia huunea kupitia kwa mate, majimaji mengine yanayotokea mdomoni, puani na katika kinyesi. Usambaaji wake hufanyika kupitia kwa lishe iliyoambukizwa au kupitia kwa wanyama wagonjwa au wanyama wanaoubeba mwilini. </s>
<s>[INST] Mifugo wengine wanaoathiriwa [/INST] Asilimia kubwa (hadi asilimia 80) ya wanyama wagonjwa hufa. Kifo kinaweza kutokea ghafla lakini wakati mwingine hutokea siku 2 hadi 8 baada ya kuonekana kwa dalili za mwanzo. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Kimeta ni ugonjwa wa wanyama wa damu moto wanaojumuisha ngamia, ng鈥檕mbe, swara n.k. Wanadamu pia wanaweza kuupata ugonjwa huu kwa kugusa damu, viungo, na bidhaa nyinginezo za wanyama walioambukizwa, au kuvuta hewa yenye bakteria wakati wa kushughulikia bidhaa za wanyama walioambukizwa na ulaji wa nyama ya wanyama hao walioathiriwa. </s>
<s>[INST] Hali hatari zinazochangia maambukizi [/INST] Kimeta husababishwa na chembechembe ya bakteria ambayo inaweza kuishi katika udongo kwa kipindi kirefu na huwa sugu kwa joto, kiangazi, baridi kali na kemikali za kuua viini. Ugonjwa huu unaweza kutokea katika maeneo ya kukusanyika kwa wanyama kama vile mahali wanapokunywa maji na penye udongo wa magadi ya kuramba. Huwa unaambukiza kupitia ulaji wa malisho yaliyoambukizwa bakteria hao. Nzi na wadudu wengineo wanaweza kuueneza ugonjwa huu kutoka kwa mnyama mmoja hadi kwa mwingine. Picha 7.2.1 Uambukizaji wa kimeta hufanyika kwa wanyama wanapomeza chembechembe za bakteria wa kimeta wakiwa malishoni. Ugonjwa huo husababisha kifo cha ghafla na damu iliyokolea weusi humtoka mnyama aliyekufa hasa kupitia mdomoni na kitakoni. Wanyama wafu wasipozikwa na kufukiwa, bakteria walio miilini mwao husambaa katika malisho na udongo; hiki huwa chanzo cha maambukizi kwa wanyama wengine. Visa vya kimeta miongoni mwa wanadamu huhusishwa na mgusano wa moja kwa moja au vinginevyo na wanyama walioambukizwa au bidhaa zao.. </s>
<s>[INST] Mara nyingi wanyama wenye hali nzuri kiafya katika kundi huambukizwa [/INST] Ugonjwa huu huhusishwa na msimu mrefu wa mvua kubwa baada ya kiangazi cha muda mrefu, mafuriko, hali ya hewa yenye joto la wastani na uharibifu wa udongo. </s>
<s>[INST] Wanyama waliokufa/mizoga [/INST] Mara moja moja, mnyama aliyeathiriwa anaweza kuonyesha dalili hizi hata iwapo hakuna ushahidi wowote wa kuwahi kuugua ugonjwa huo hapo awali. </s>
<s>[INST] Karantini [/INST] Damu nzito, nyeusi hutoka kwa wingi kwenye viungo vilivyo wazi mwilini (mdomo, pua, kitako) bila kuganda </s>
<s>[INST] Wanyama wengine wanaoambukizwa [/INST] Hakikisha kuwa mzoga wa kimeta pamoja na vitu vyote vilivyoambukizwa vinavizikwa katika shimo la kina kirefu (futi sita) Usiwahi kumchinja mnyama aliyekufa kutokana na kimeta. Mzoga wake haujikazi (kukakamaa) kama inavyotarajiwa. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ng鈥檕mbe na ngamia. Ugonjwa huu hutokea mara kwa mara miongoni mwa kondoo na mara chache miongoni mwa mbuzi, na nadra sana katika ng鈥檕mbe. </s>
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoambukizwa katika kundi [/INST] Bakteria fulani walio na sumu, ambao huishi katika utumbo, huzaana na kisha kuingia kwenye mishipa ya damu. Katika hali ya kawaida, wanyama hula lishe iliyoambukizwa kupitia kwa kinyesi, kisha bekteria hao huingia kwenye mfumo wa kusaga/kumeng鈥檈nya chakula lakini huwa hawasababishi ugonjwa huo hadi hali inapokuwa shwari kwa maambukizi. Mchoro 7.3.1 Unaonyesha malisho yaliyoambukizwa bakteria hao wenye sumu. Malisho hayo huambukizwa kupitia kwa kinyesi kilicho na viini hivyo kisha kuambukiza wanyama. Dalili zinazojitokeza zinajumuisha mnyama kukosa hamu ya kula na kifo cha ghafla cha wanyama wanaoonekana kuwa na afya nzuri. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Mkurupuko unaweza kuathiri kundi zima la wanyama. Ugonjwa huu hasa huathiri wanyama wanaoonekana kuwa na afya nzuri. </s>
<s>[INST] Picha 8.1.1 Ni kupe wa bluu anayesambaza viini vinavyosababisha ugonjwa wa mkojo mwekundu [/INST] Uambukizaji wa ugonjwa wa mkojo mwekundu hutokea pale kupe wa kike wakomavu wa rangi ya bluu (samawati), wanaotoka kwa mnyama aliyeathirika, wanapojipenyeza ngozini mwa mnyama asiyeathirikakisha wakamwambukiza mnyama huyo viini vya ugonjwa huo. Kupe hao huwa wanawarithisha watoto wao viini hivyo kupitia kwa mayai. Halafu viluwiluwi/mabuu (au watoto hao wa kupe) nao husambaza viini hivyo wanapomnyonya damu mnyama mzima kiafya. </s>
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoathiriwa katika kundi [/INST] Picha 8.1.2 Mchoro unaoonyesha maambukizi ya homa ya kupe kutokana na kupe waliobeba viini katika malisho yaliyoambukizwa viini hivyo. </s>
<s>[INST] Kukosa hamu ya chakula [/INST] Hutofautiana pakubwa - katika maeneo yanayoshuhudiwa ugonjwa huu mara kwa mara, visa vya maradhi hayo huwa vichache sana. </s>
<s>[INST] Wengu (spleen) iliyofura, nyeusi, na rahisi kukatika [/INST] Uwezekano mkubwa wa wanyama walioathiriwa kujitenga na wenzao, kuwa wadhaifu, kuhangaikana kusita kutembea </s>
<s>[INST] Mifugo wengine walioathiriwa katika [/INST] Kibofu cha mkojo kinaweza kuwa na mkojo mwekundu wenye weusi au wenye rangi ya chokoleti (hudhurungi) </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ngamia na ng鈥檕mbe, ingawa kuna uwezekano ipo tofauti za aina za viini zinazoambukiza kila jamii ya mnyama </s>
<s>[INST] Picha 9.1.1 Inaonyesha nzi wa kuuma (Pange) na Mbung鈥檕 [/INST] Mbuzi na kondoo wanaweza kuambukizwa ugonjwa huu kwa kuumwa na mbung鈥檕 au nzi wa kuuma (pange). Maambukizi ya viini hivi yameonyeshwa hapa chini katika Picha 9.1.2. </s>
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoambukizwa katika kundi [/INST] Picha 9.1.2 Inaonyesha maambukizi ya malale kupitia kwa mbung鈥檕, kutoka kwa mnyama aliyeathiriwa hadi kwa mnyama aliye hatarini kuambukizwa. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Tafiti zinaonyesha kuwa hadi thuluthi (mmoja kati ya watatu) ya kondoo na mbuzi kwenye kundi wanaweza kupatwa na ugonjwa huu, lakini hilo hutofautiana sana kutegemea idadi ya mbung鈥檕 na nzi wa kuuma waliopo. </s>
<s>[INST] Usambaaji [/INST] Karibu kondoo na mbuzi wote wanaougua ugonjwa huu hufa iwapo hawatibiwi. Wanyama walioambukizwa huugua kwa muda mrefu. Katika hali za kawaida, hadi asilimia tatu ya kondoo na mbuzi katika kundi hufa kutokana na ugonjwa huu. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ugonjwa huu hutokea katika maeneo ambapo mbung鈥檕 hupatikana. Nzi wa kuuma huzidisha usambaaji wa ugonjwa huu, hasa iwapo kuna maskani/makazi yao eneo hilo. </s>
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoambukizwa katika kundi [/INST] Kupe husambaza viini vinavyosababisha ugonjwa huu wakati wa kunyonya damu ya wanyama wasiokuwa wagonjwa. Ugonjwa huu pia unaweza kuambukiza kupitia kwa nzi wa kuuma/pange. Picha 9.2.1 Jinsi maambukizi ya ndigana bari yanavyoenezwa na kupe wa bluu waliovamia eneo la malisho ya wanyama. </s>
<s>[INST] Dalili kuu za ugonjwa huu [/INST] Kwa kawaida, ugonjwa huu hauonyeshi dalili za wazi miongoni mwa kondoo na mbuzi. Wanyama wachache huambukizwa katika tukio lolote lile la ugonjwa huu. </s>